Data yangu italindwaje ninapotumia mfumo wa kuripoti wa mtandaoni?
Kanuni za ulinzi wa data – mfumo wa kuripoti wa mtandaoni
Ulinzi wa data ni muhimu kwetu
Tunachukulia suala la ulinzi wa data yako ya binafsi kwa uzito sana. Taarifa ifuatayo ya faragha ya data itakufahamisha kuhusu data ya binafsi tunayochakata unapotembelea tovuti hii au unaporipoti tukio la ukiukaji wa kanuni.
1. Mdhibiti wa data ndani ya ufafanuzi wa Kifungu cha 4 nambari 7 cha GDPR
Mdhibiti wa data anayechakata data ndani ya ufafanuzi wa Kifungu cha 4 nambari 7 cha GDPR ni mpokeaji wa data unayeonyeshwa unaporipoti tukio la ukiukaji wa kanuni.
2. Kuripoti matukio ya ukiukaji wa kanuni kupitia mfumo wa kuripoti wa mtandaoni/Kuwasiliana na Timu ya Utiifu
Kusudi la uchakataji wa data na msingi wa kisheria
Mfumo huu wa kuripoti wa mtandaoni ulisanidiwa kwa ajili ya kuripoti masuala yanayohusiana na utiifu. Unaweza kuutumia kuripoti matukio yanayoweza kukiuka kanuni za utiifu ambayo yanaweza kusababisha athari kubwa kwa kampuni, ikijumuisha adhabu za makosa au faini za usimamizi.
Unaweza pia kutumia mfumo wa kuripoti wa mtandaoni ikiwa una maswali maalum kuhusu masuala ya utiifu ambayo ungependa yajibiwe na timu ya Utiifu.
Msingi wa kisheria wa uchakataji huu wa data ni Kifungu cha 6 (1) sentensi ya 1 f) cha GDPR.
Aina ya data inayochakatwa
Ni hiari yako kutumia mfumo wa kuripoti wa mtandaoni. Data tunayochakata inategemea maelezo unayotupatia. Kwa kawaida tunachakata data ifuatayo:
- Jina na maelezo yako ya mawasiliano, ikiwa umetupatia maelezo haya.
- Iwapo wewe ni mfanyakazi wetu, ikiwa ungependa kutuambia.
- Majina ya watu na data nyingine ya binafsi inayohusiana na mtu, kulingana na suala unaloripoti kwetu.
Wapokeaji/Aina za wapokeaji
Data unayotutumia huchakatwa na mdhibiti wa data na kwenye idara ya Utiifu pekee. Kama kanuni, haturuhusu utoaji wowote wa data kwa watu wengine. Huenda ikawa kwamba tunahitaji kushiriki data uliyotutumia na idara zingine ndani ya shirika linalodhibiti data au na kampuni nyingine za Schwarz Group ikiwa ni muhimu ili kuchunguza suala husika.
Data pia huchakatwa kwa niaba yetu na wachakataji, kama vile msimamizi wa mfumo huu wa kuripoti wa mtandaoni, EQS Group GmbH, Bayreuther Strasse 35, 10789 Berlin, Ujerumani. Mchakataji huyu na wachakataji wengine wowote huchaguliwa kwa makini, na pia hukaguliwa na kuunganishwa na mkataba kwa mujibu wa Kifungu cha 28 cha GDPR.
Tunawajibika kisheria kumfahamisha mshtakiwa kwamba tumepokea ripoti kumhusu mradi hatua hiyo ya kumfahamisha haihatarishi tena uchunguzi wa ripoti husika. Hata hivyo, utambulisho wako kama mtoboa siri haufichuliwi kwa mtu ambaye anadaiwa kutekeleza tukio la ukiukaji wa kanuni, kwa kiwango ambacho hatua hii inaruhusiwa kisheria.
Kipindi cha uhifadhi/Vigezo vya kubainisha kipindi cha uhifadhi
Data huhifadhiwa kwa muda mrefu kadri iwezekanavyo ili kutimiza makusudi yaliyotajwa awali, ambayo ni kufanya uchunguzi wa ripoti na kutekeleza hatua ya kuripoti kwa usiri kuhusu hali na chanzo cha ripoti husika na njia ya mawasiliano iliyotumiwa kuripoti, na kama inavyohitajika chini ya sheria husika. Vigezo vinavyobainisha kipindi hiki inajumuisha utata wa suala lililoripotiwa, muda unaochukuliwa kulichunguza na suala kuu la madai hayo. Data hufutwa baada ya kusudi la ukusanyaji kukamilishwa.
3. Matumizi ya mfumo wa kuripoti wa mtandaoni
Mawasiliano kati ya kifaa chako na mfumo wa kuripoti wa mtandaoni hufanyika kupitia muunganisho uliosimbwa kwa njia fiche (SSL). Anwani yako ya IP haihifadhiwi. Kidakuzi kilicho na kitambulisho cha kipindi (kidakuzi cha kipindi) huhifadhiwa kwenye kompyuta yako kwa madhumuni maalum ya kudumisha muunganisho kwenye mfumo wa kuripoti wa mtandaoni. Kidakuzi hiki hutumika kwa muda wa kipindi chako kisha hufutwa.
4. Haki zako kama mmiliki wa data
Una haki, kwa mujibu wa Kifungu cha 15 (1) cha GDPR, baada ya kuomba, kupokea maelezo bila malipo kuhusu data yako ya binafsi ambayo imehifadhiwa kwenye mfumo wa mdhibiti wa data.
Ukitimiza masharti ya kisheria, una pia haki ya kurekebisha, kufuta na kuzuia uchakataji wa data yako ya binafsi.
Ikiwa data imechakatwa kwa mujibu wa Kifungu cha 6 (1) e) au f) cha GDPR, una haki ya kupinga. Ukipinga uchakataji wa data, haitachakatwa baadaye isipokuwa mdhibiti wa data aweze kuthibitisha misingi thabiti ya kisheria ya kuchakatawa zaidi ambayo inazidi masuala ya mmiliki wa data.
Ikiwa umetoa data mwenyewe, una haki ya kuihamishia kwa mtu mwingine.
Ikiwa data imechakatwa kwa msingi wa idhini yako kwa mujibu wa Kifungu cha 6 (1) a) au cha 9 (2) a) cha GDPR, unaweza kuondoa idhini yako wakati wowote kwa uchakataji wa baadaye bila kuathiri uhalali wa uchakataji wa awali.
Katika hali zilizotajwa hapo juu, ikiwa una maswali yoyote zaidi au ungependa kuwasilisha malalamiko, tafadhali wasiliana na Afisa wetu wa Ulinzi wa Data kwa barua au kwa barua pepe; angalia sehemu ya 5.
Una pia haki ya kuwasilisha malalamiko kwa mamlaka yanayofaa ya usimamizi wa ulinzi wa data.
5. Wasiliana na afisa wa ulinzi wa data
Ikiwa una maswali yoyote zaidi kuhusu uchakataji wa data yako au utekelezaji wa haki zako, unaweza kuwasiliana na afisa wa ulinzi wa data wa mdhibiti husika:
- Lidl Belgium GmbH & Co. KG
Afisa wa Faragha
Guldensporenpark 90 Blok J
9820 Merelbeke
België/Belgique
privacy@lidl.be
- „ЛИДЛ БЪЛГАРИЯ ЕООД ЕНД КО“ КД
Ул. „3-ти март“ № 1,
2129 с. Равно поле,
България
personaldata.protection@lidl.bg
- Lidl Česká republika v.o.s. / Lidl Holding s.r.o. / Lidl stravenky v.o.s. / Lidl E-Commerce Logistics s.r.o.
Pověřenec pro ochranu osobních údajů
Nárožní 1359/11
158 00 Praha 5
Jamhuri ya Zechia
ochranaosobnichudaju@lidl.cz
- Lidl & Companhia
Responsável de Proteção de Dados
Rua Pé de Mouro 18, Linhó
2714-510 SINTRA
Ureno
ProtecaoDados@lidl.pt
- LIDL Saiprasi
Υπεύθυνος προστασίας Δεδομένων
Industrial Area
Emporiou Street 19
CY- 7100 Aradippou – Larnaca
Κύπρος
dataprotection@lidl.com.cy
- Lidl Discount S.R.L.
Responsabilul cu Protecția Datelor
Str. Cpt. Av. Alexandru Șerbănescu nr. 58A
Sector 1, București, 014295
protectiadatelor@lidl.ro
- Lidl Danmark K/S
Databeskyttelsesofficeren (DPO)
Profilvej 9
Danmark - 6000 Kolding
Databeskyttelse@Lidl.dk
- Lidl Dienstleistung GmbH & Co. KG
Datenschutz
Bonfelder Str. 2
74206 Bad Wimpfen
Ujerumani
datenschutz@lidl.de
- Lidl Eesti OÜ
A. H. Tammsaare tee 47
Kristiine linnaosa, Tallinn
Harjumaa, 11316
Eesti Vabariik
andmekaitse@lidl.ee
- Lidl Hellas & Σια Ο.Ε.
Υπεύθυνος προστασίας Δεδομένων
Ο.Τ. 31, ΔΑ 13 Τ.Θ. 1032,
Τ.Κ. 57 022 Σίνδος-Θεσσαλονίκη
Ελλάδα
dataprotection@lidl.gr
- Lidl Hrvatska d.o.o.k.d
Službenik za zaštitu podataka
Ulica kneza Ljudevita Posavskog 53
10 410 Velika Gorica
Hrvatska
zastita_podataka@lidl.hr
- Lidl Ireland GmbH
Lidl Head Office
Main Road
Tallaght
Dublin 24
Ayalandi
data.controller@lidl.ie
- Lidl Italia S.r.l.
Responsabile della protezione dei dati
Via Augusto Ruffo 36
37040 - Arcole (VR)
Italia
privacyit@lidl.it
- SIA Lidl Latvia
Datu aizsardzības speciālists
Dzelzavas iela 131
Rīga, LV-1021
datuaizsardziba@lidl.lv
- UAB „Lidl Lietuva“
Viršuliškių skg. 34
LT – 05132, Vilnius
Lietuva
duomenuapsauga@lidl.lt
- Lidl SNC
Service protection des données
Direction Juridique et Compliance
72, avenue Robert Schuman
FR - 94533 RUNGIS CEDEX 1
protection.donnees@lidl.fr
- Lidl Stiftung & Co. KG
Datenschutz
Stiftsbergstraße 1
74167 Neckarsulm
Ujerumani
datenschutzbeauftragter@lidl.com
- Lidl Supermercados, S.A.U.
Delegado de Protección de Datos
c/ Beat Oriol, s/n (Pol. Ind. La Granja)
08110 Montcada i Reixac
España
protecciondedatos@lidl.es
- Lidl Suomi Ky
Tietosuojavastaava
Compliance
PL 500
FI-02201 Espoo
Suomi
tietoturva@lidl.fi
- Lidl Magyarország Bt.
Adatvédelmi tisztviselő
Rádl árok 6.
1037 Budapest
Magyarország
adatvedelem@lidl.hu
- Lidl Malta Ltd.
Afisa wa Ulinzi wa Data
Lidl Italia S.r.l.
Via Augusto Ruffo 36
37040 - Arcole (VR)
Italia
privacymt@lidl.com.mt
- Lidl Nederland GmbH
Havenstraat 71
1271 AD Huizen
Nederland
privacy@lidl.nl
- Lidl Northern Ireland GmbH
Dundrod Road
Nutts Corner
BT29 4SR
Crumlin
Co. Antrim
Ayalandi Kaskazini
data.controller@lidl.ie
- Lidl Polska Sp. z o.o.
Inspektor ochrony danych
ul. Poznańska 48, Jankowice
62-080 Tarnowo Podgórne
Polandi
ochronadanychosobowych@lidl.pl
- LIDL Slovenija d.o.o. k.d.
Pooblaščena oseba za varstvo podatkov
Pod lipami 1
1218 Komenda
Slovenia
skrbnik_OP@lidl.si
- Lidl Slovenská republika, s.r.o.
Zodpovedná osoba za ochranu osobných údajov
Ružinovská 1E
821 02 Bratislava
Slovakia
ochranaosobnychudajov@lidl.sk
- Lidl Sverige kommanditbolag
Dataskyddsombud
Box 6087
175 06 Järfälla
Uswidi
dataskydd@lidl.se
- Lidl Great Britain Limited
Lidl House
Afisa wa Ulinzi wa Data
14 Kingston Road
Surbiton
KT5 9NU
Uingereza
data.protection@lidl.co.uk